Sisikii (feat. Romantic) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
VERSE 01
[Jua my love love
Me nishakulove
Sitojali wana walio na wivu
Ninapenda niwe na nawe kwa karibu
Tena nafurahi maana we kwangu tabibu]×2
Unanitibu mpaka mgonjwa napona
Dose unazonipa baby girl yaan nouma
Tulia tulia hapa niendelee kupona
Kwani si unajua me mwenzio nakupenda
Aah baby girl umenikamata
Si unajua me mwenzako ndo nishadata
Aah we ni pisi kali matata
Kaa nami maishani sitokuacha
CHOROUS
[Sisikii wala kwako me sioni
Na ndo vile unanijia ndotoni
Na ndo maana kukufuata me sikomi
Mmh yeeah yeah ]×2
VERSE 02
Mimi nakuitaji wewe pekee eeh
Sitaki mwingine
Sitaki mwingine
Zaidi yako weeeeh
Tena nakuomba wewe unielewe eeh
Sitaki uchezewe
Sitaki uchezewe
Daima mileleeeh
Ujue unanipagawisha
Kwangu mambo yatajipa
Usiogope zote shida
Kwani nazo za kupita
Unanitibu mpaka mgonjwa napona
Dose unazonipa baby girl yaan nouma
Tulia tulia hapa niendelee kupona
Kwani si unajua me mwenzio nakupenda
Aah baby girl umenikamata
Si unajua me mwenzako ndo nishadata
Aah we ni pisi kali matata
Kaa nami maishani sitokuacha
CHOROUS
[Sisikii wala kwako me sioni
Na ndo vile unanijia ndotoni
Na ndo maana kukufuata me sikomi
Mmh yeeah yeah ]×2