![Mapenzi Au Pesa ft. Diamond Platnumz](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0F/22/rBEezlsBC_eACIhwAADG2zDU4bY368.jpg)
Mapenzi Au Pesa ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Mapenzi Au Pesa ft. Diamond Platnumz - Nay Wa Mitego
...
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we
Siku hizi mapenzi pesa, wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
We' watakucheka, na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah, 'penzi pesa, wasikudanganye ni kupeti bwana
We' watakucheka, na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Eh, kama mapenzi shilingi (ah-ah) mi nimetoa hadi Murano nikakimbiwa (okay)
Vijonjo vingii (ehee) na u-Dangote n'lonao nikakaziwa
We' ukitoa Murano mwanzako anatoa Benz, mapenzi ni mchezo wa kishenzi
Pesa mbele ndo atakuenzi kiulaini, tu kama Zenji
Si umeyasikia Kunambi, Aunt kwa Moze a'vyotulia
Bila hata chumvi na mtoto kabisa kumzalia
Si unakumbuka ya Wolper? (Aah wapi?) Dallas kuchoka (saa ngapi?)
Si akaondoka, tatizo unasikiliza sana magazeti
Siku hizi mapenzi pesa, wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
We' watakucheka, na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah, 'penzi pesa, wasikudanganye ni kupeti bwana
We' watakucheka, na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Si unakumbuka kipindi kile we unatoka na, "Nenda kamwambie"
Walisema una bonge la domo
Eti leo handsome si mtonyo?
Sa' ndo' maneno gani? (Ah, ah, eh)
Kabla hujafa hujaumbika usimuudhi Maulana (haya wee)
Tena usiombe yakakufika ya juzi sio jana (ah, salaleeh)
Na bora niende zangu maana maneno yamekuishia
Nisije kuongea mangu mwishowe ukaja niharibia
Hata huyo Zari asingekupenda usingekua Diamond (aah ziache dharau)
Usinidanganye (unanidharau?)
Unapepea mapenzi umerogwa?
Mapenzi bila pesa si ushoga?
Aye le-le-le, nasikia mbuzi kala mukeka binti kaenda kwao (le-le-lee)
Eti mafundi wamemuteka kakuachia mwanao
Sa' nahisi unakosa adabu, aah unanionea, huna ustaarabu, mbona yangu unayaongea
Na n'takupa adhabu (ooh) tatizo kitu kidogo mpaka tugombaneee
Siku hizi mapenzi pesa, wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
We' watakucheka, na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah, 'penzi pesa, wasikudanganye ni kupeti bwana
We' watakucheka, na juhudi uifanye sio tu kuvavanya (ha-ah, ha-ah)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
Haya we, haya haya we (haya we)
FreeNation
Kisambusa, T-touch kisambusa (yeah, eh)
Kisambusa, T-touch kisambusa (yeah, eh)
Haya we, haya haya we (yeah, eh)
Haya we, haya haya we (yeah, eh)
Haya we, haya haya we
Basi baba, basi eeh, basi
Mpe nyonyo!