![Tangu Kale Hata Leo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/19/dfd66d4cfb3e4e64bc30f79644a78e50_464_464.jpg)
Tangu Kale Hata Leo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Tangu Kale Hata Leo - Called To Serve Ministries
...
1.Singetambua Bethlehem kazaliwa mwana wa mungu kama sio malaika kuletaa habari kondeni
Nisingejua sababu ya kuja chini duniani
Kama sio msalaba kukudhihilisha kwangu
Chorus
(Hallelujah watukuka Unastahili sifa zote,
Wayatuliza mawimbi bahari inakutii,
Hallelujah watukuka unastahili sifa zote,
Tangu kale hata Leo wewe Ndiwe wamilele)
2.singetambua huruma na upendo wako kweli
Singepata ujasiri kuja kwako na kuungama
Singepata tumaini lakufika mbinguni kama usingefufuka na kuandaa makao