![Tungewezaje?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/27/ca42806ce24f471993e688be4af03bf8_464_464.jpg)
Tungewezaje? Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Tungewezaje? - Called To Serve Ministries
...
Instrumental
Tukiyakumbuka ya kale
mengi tumepitia,
Tungewezaje pasipo BWANA.
Tulipofunikwa na giza
sasa tunayo nuru,
Tungewezaje pasipo BWANA.
Msamaha twapata kwake
twapewa msaada
faraja na rehema anatujalia
kukua katika neema kufika ubora
Tutawezaje pasipo BWANA.
Instrumental
Msamaha twapata kwake
twapewa msaada
faraja na rehema anatujalia
kukua katika neema kufika ubora
Tutawezaje pasipo BWANA
instrumental
Tulipopatwa na magonjwa
na leo tuwazima
Tungewezaje pasipo BWANA
tulipolemewa kushindwa
(na ndugu na jamaa)
leo tunatukuza
(tungewezaje sisi) Tungewezaje (tungewezaje Baba...)
pasipo BWANA
Dunia ilipotupiga (dunia ilipotupiga.., piga..)
tukakata tamaa
(moyo..ni)) tukasema moyoni mwisho wetu umefika
tumaini kuwa washindi
nguvu kusonga mbele
Tutapataje pasipo BWANA
Instrumental
Dunia ilipotupiga (dunia kutupiga)
tukakata tamaa
(tukasema moyoni) tukasema moyoni (Uuu) mwisho wetu umefika (Uuu Uuu..)
tumaini kuwa washindi
nguvu kusonga mbele
Tutapataje pasipo BWANA
Changamoto bado nyingi
tunahitaji msaada
Tutawezaje pasipo BWANA
Dunia inayumba
tupate wapi msaada
Tutawezaje (tutawezaje) pasipo BWANA
Majaribu ni mengi
twakuhitaji sasa
Tutawezaje (tutawezaje) pasipo BWANA
Tunahitaji kufika juu mbinguni (kwake Baba..)
Tutawezaje (tawezaje) pasipo BWANA