Utakwenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Utakwenda - Called To Serve Ministries
...
*UTAKWENDA by CALLLED TO SERVE MINISTRIES*
Katika maisha yangu sijawai ona,mwenye haki ameachwa ataabike,
Au watoto wake, kuombaomba mitaani
Yeye ni mwani-nifu kwa wanadamu,pendo la agape ni tabia yake
Ahadi zake zoote,anatimiiizaaa
Ukimwita anaitika,ukibisha-anafunguaa ukimwomba anasikia anaajiibu,
Atakuonyesha mambo mengi makubwa usiyoojuuaa, na utashangaa Bwana-anayokuwaaziaa,
*REFRAIN*
Yeye ni Mungu aliye-kutoa misri,anakupenda,anakujaaalii,,mbooni ya jicho lake,uko viganjani mwake,atakuhifadhi akuchukue salamaa..
*CHORUS*
Utakwenda, utakwenda,utapiita,
Maji hayatakukarigisha na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa,hata kwenye moto utapita,,wala-hautakuteketeza,maneno haya asema Bwana
Utakwenda, utakwenda,utapiita,
Maji hayatakukarigisha na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa,hata kwenye moto utapita,,wala-hautakuteketeza,maneno haya asema Bwana wa majeshii
STANZA 2
Waovu wakipanga kukuharibu,Bwana ni msaada Yupo karibu,atakuokoa machoni pao wasikuoonee,
Ukitupwa chiniii leo uanguke,Yeye atakubeba mbawani mwake,atakuokoa mguu wako usiteguukee,
Tena usiwaogope wote wau-ao mwili,usalama wako-uko mikononi mwa Mungu..,
Hataruhusu mbaya moja lije kwako asilionee
Mikononi mwake, ataku-tunza milelee..
*REFRAIN*
Yeye ni Mungu aliye-kutoa misri,anakupenda,anakujaaalii,,mbooni ya jicho lake,uko kiganjani mwakee,atakuhifadhi akuchukue salamaa..
*CHORUS*
Utakwenda, utakwenda,utapiita,
Maji hayatakukarigisha na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa,hata kwenye moto
utapita,,walahautakuteketeza,maneno haya asema Bwana
Utakwenda, utakwenda,utapiita,
Maji hayatakukarigisha na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa,hata kwenye moto utapita,,wala-hautakuteketeza,maneno haya asema Bwana
Utakwenda, utakwenda,utapiita,
Maji hayatakukarigisha na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa,hata kwenye moto utapita,,wala-hautakuteketeza,maneno haya asema Bwana
Utakwenda, utakwenda,utapiita,
Maji hayatakukarigisha na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa,hata kwenye moto utapita,,wala-hautakuteketeza,maneno haya asema Bwana wa majeshi.