SALAMA (LIVE) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni salama mimi ni salama
Ni salama moyoni mwangu
Ni salama mimi ni salama
Ni salama moyoni mwangu
Nimejificha kwenye mwamba
Mwamba usotingisika
Ni salama moyoni mwangu
Maana yesu ndiye mwamba
Tena maficho salama
Ni salama moyoni mwangu
Mwenye nguvu na mamlaka
Ametawala moyo wangu
Ni salama moyoni mwangu
Sioni haya kutangaza
Ye pekee ndiye ngome yangu
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Kwa kadri ya haki yake
Ninamwimbia wimbo mpya
Ni salama moyoni mwangu
Aliye nitoa shimoni
Wema wake unanitosha
Ni salama moyoni mwangu
Nimtafute alotamalaki
Jemedari mshinda vita
Ni salama moyoni mwangu
Sioni haya kutangaza
Ye pekee ndiye ngome yangu
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Jua liwake kama moto
Sitazimia ye yu nami
Ni salama moyoni mwangu
Garika ije na hakika
Sitasombwa ye ndo mwamba
Ni salama moyoni mwangu
Apiganaye vita vyangu
Atanilinda ni Mungu wangu
Ni salama moyoni mwangu
Na nitaimba sifa zake
Milele milele daima
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu
Salama moyoni
Ni salama moyoni mwangu