NISEME NINI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Sio haki yangu kuishi
Naishi kwa mapenzi yako
Usemalo litendeke juu yangu
Hilo ndilo litatimia
Sio haki yako dada yangu
Kuwa na afya uliyo nayo
Kunao wengi wamelazwa vitandani
Walilia Baba awape afya
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Sio haki yako eeh mwenzangu
Kuishi miaka uloishi
Inua mikono umpe sifa
Huyu Mungu alokurehemia
Sio haki yako eeh mwenzangu
Kuishi kwa hiyo nyumba nzuri
Kunao wengi hawana makao
Mwambie Baba ni asante ahaa
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Kula kuvaa kuishi vyema
Kuwa na hiyo afya nzuri
Hata amani nyumbani mwako
Inua mikono msifu
Hilo ndogo unadharau
Ni Mungu aliyekupa wee
Mpe sifa Mungu umuinue
Kwa yale yote ulonayo ahaa
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu
Niseme nini Baba
Niseme nini Yesu eeeh
Niseme nini Mungu wangu
Ajili ya maisha yangu