
UNA MBEGU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ukiona kanisani mwako
Ewe muhudumu wa kiroho
Na wengi wanakuinukia
Ili wapigane vita nawe
Usijibizane nao
Wala usijitetee
Endelea kumwambia Baba
Baba we ikuze mbegu yangu
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Haya magonjwa yasiyo eleweka
Mara nyumba yako imevunjwa
Ufikapo kazini barua
Ya kuachishwa kazi ndiyo yakulaki
Mkeo amekutoroka
Wazazi ndugu wamekutenga
Kumbuka haya ni majaribu
Omba ajili ya mbegu yako
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Ili akuvuje moyo
Waimbaji wenzako watakutenga
Ili akuvunje moyo
Wahubiri wenzako hawakupendi
Ili akuvunje moyo
Mfanyao nao kazi watakufitini
Watapeleka fitina
Kwa mdosi ufutwe kazi
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Atafuta kukuangamiza
Kabla uoteshe hiyo mbegu yako
Atafuta kukuangamiza
Kabla matunda yaonekane
Atafuta kukuangamiza
Kwa ajili ajua mpango wa Mungu
Juu ya maisha yako
Ni mpango wa mema sio mabaya
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Una mbegu una mbegu
Una mbegu ya kiroho
Una upako wa hali ya juu
Unaomtetemesha shetani
Linda mbegu yako
Omba Mungu
Kwa ajili ya upako wako