![Asante ft. Rayvanny](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/19/83565e8b0008444ea639f20e0b0291eb_464_464.jpg)
Asante ft. Rayvanny Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Asante ft. Rayvanny - Otile Brown
...
Uuuuh!
Uuuuh!
Kupendwa ni baraka, uwe maskini au tajiri
Mwisho wa siku ushindi mkubwa,furaha na amani
Aaaah!
Kupendwa ni kwa neema,kuna wale waliojaliwa
Mali,ila ndio sasa wamepungukiwa mapenzi
Niamini baiby,mimi ni wako,kwako nashikamana hivyo
Niamini baiby,mimi ni wako,kwako nashikamana hivyo
Asante,asante,kwa kunipenda
Kwa kunipenda…
Mhhhh,mmhhhhh
Mhhhh,mmhhhhh
Nimechoka kumficha,nachelewa umemuona
Baiby wangu ndio huyu
Ndio huyu,ndio huyu
Ndio huyu,ndio huyu
Ndio huyu,ndio huyu
Nimeweka na magic mapicha, mtandaoni mmemuona
Baiby wangu ndio huyu
Ndio huyu,ndio huyu
Ndio huyu,ndio huyu
Ndio huyu,ndio huyu
Nimeona wengi ,siwataki baiby nakutaka wengi
Nimeona wengi,siwapendi baiby nakupenda wewe