
P.M.M (Sewersydaa) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
P.M.M (Sewersydaa) - Wakadinali
...
mmenipatia sifa yote hata sikuwa naitaji
yuafaa tu ikae...
yoh yoh yoh yoh yoh yoh..
dem alinipata red handed nikishuka na wawili kwa flow
masters from being remanded
ngori ni ya ????
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
dem alinipata red handed nikishuka na wawili kwa flow
masters from being remanded
ngori ni ya ????
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder( yoh aah yoh)
pre meditated maaarder
tango one tango two
waambie hapa unadeal na tangut (aah)
trouble some kutoka youth
batch I thought you already knew (aah)
first of all haufai kunischool
kaa umeniona unaact tu cool
alkapon kaa hunanga clue
we na hiyo batch unajiona mkuu
hata dogi inajuanga ile dangerous root
kam na idea bila doh tunaisnooze
ndom ikibaki napatia madush
sikuhizi drop imekuwa tu smooth
kitu hupitia kwa nozzle ni true
najua ikifika kwa mungu ni ku... vutia otii hapige simu
zingine ziletwe zituharibu
chati chati wanajuakupuss
mbona wanahepa wakionaga group
ngori za ruuh zimepita hadi roof
noma na tember unabidi una..
otherwise tunabebwa mafool
raia iko kambi inakanyaga..
staki yote usiache kitu
ichapie hadi irudi mtaa ikiwa loose
dem alinipata red handed nikishuka na wawili kwa flow
masters from being remanded
ngori ni ya ????
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
dem alinipata red handed nikishuka na wawili kwa flow
masters from being remanded
ngori ni ya ????
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
kwani lazima ukuwe reminded
I'm just a victime of madness
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated marder
pre meditated maaarder
kill kila kitu inasonga
si mliambuwa hapa mwache kupita
scene inakaa movie ya horror
nikaa wasee wanaplage tiasita
bitch alicheza na dollar
ile kungora akapigwa kichwaa
this is not the foraham ya kuongea nikaa unalipwa
deep indaa miaka sita juu ati sikuwachekeshea
acha saa niwapatie recup hiyo beat ikiendelea
waliamua kukuja rima saa yenye kila msee amezima
neighbour alikuwa on wakaingia sikuwai jua hata ni mama pima
hasubuhi na mapema nine hivi kwambao nikajipata nimesimama
kijitetea lawama
najaribu kubonga inakwama
magistrate nikaa ako maji akaamua kunigongea kisabantah
tangu hiyo day ni premeditated murder..