Eastlands (Sewersydaa) ft. Skillo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Eastlands (Sewersydaa) ft. Skillo - Wakadinali
...
INTRO
Fuck manze, hii area ina katsia joh,
mambo ya ofisi nini kufyeka hanaku fom
sindio?, nipigie nani! acha nipigie skilo
simu haiingi...hello!
CHORUS
....
Hallo skillo ni sewer,
Ah! sema driller,
Eastlands kuna semaje najua nimeficha,
mhh luku bado kibla wa mangita,
tunasaka fom bado hatuja lalisha,
Na Brayo aliacha mzinga? naskia Vayo alimarika,
Mi niliacha kushikisha wera imenishikanisha,
Acha nikupe riba, watu walibadilika wengine waka tajirika hadi wakahama Eastlands,
Mi nawisha huku manze hata singewahi fika
Nilikujakujaza mfuko si unajua mi bado mziza?
Mhh,
Lazima nidunge timber, mtaa nilipe stima,
sinanga hata dakika lakini Nina pesa ka shida
Wana gari ka zetu but za kufinya sii ignition,
Mnisa ana ganji joh kuliko politician,
Wacha!
Huku huwezi piga dem laws za FIDA zimeshika,
Na una deal na agents hakunanga cha mdealer,
Siezi ? kwa shida though,
Hadi Mimi huoshea tajiri chrome,
Napiga hadi three jobs,
Almost kupata free loan,
Foods ni za GMO, almost kuenda chemo,
Nakushow niko kwa system lakini hikai on steroids,
Steel coins au notes hawachukuangi hongo,
Ka bro kwa esto hakunanga hata potholes,
Sii choice yangu racism bado iko,
Rejoice mtu yangu ka we bado uko huko,
CHORUS
......
Ni harakati za usherati na mihadarati,
Ka siteremshi glasi nateremsha panty,
eishh,
Smile coz I'm happy, hata nikikosa something kata ribon nina makasi ndipo tukate maji,
Returns za hustling,
Hadi natamani ungeniskiza ubaki haungeenda mahali,
Oti alisha marry,
Oti?
Joji aliwahi gari,
Hatutulii tu mtaani we're smoothly running,
Shughuli bado ni ile tu ni tunaskuma,
Lakini sio zile zetu hizi ni za ku muja,
Waristi sii wa kwetu, huskii Jhony wa runda malgam safi ndechu ndio tunawakula,
Kama kawa,
Green card haimaanishi green pastures,
Kama waafrika we need to learn that,
Uki land a job hufai kulala joh, iwe london job au kite ama dago
....
CHORUS