Niinue Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Niinue - Dr Sarah K
...
Mbele nina Endelea nina zidi Kutembea Maombi uyasikie eee Bwana unipandishe *2
Eee Bwana uu niinue kwa Imani nisimame Nipande milima yote
eee Bwana uu Nipandishe *2
Sina tamaani nikae mahali pa Shaka kamwe hapo wengi Wana Kaa kuendelea naomba
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni nitatoroka kwa Imani eeeeeeh ee Bwana uu niinue kwa Imani nisimame Nipande milima yote eee Bwana uuu Nipandishe *2
Nataka Nipandishwe juu zaidi ya the mawingu Nitaomba nifikishwe ee Bwana uuu Nipandishe
eee Bwana uu niinue kwa Imani nisimame Nipande milima yote eee Bwana uu Nipandishe *2
___-----intrumental playing____-----
eee Bwana uu niinue kwa Imani nisimame Nipande milima yote eee Bwana uu Nipandishe*4