Liseme Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Liseme - Dr Sarah K
...
lyric sync by Phellow 254790511905
hamna jambo yeye asiloliweza
***********
kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
****chorus ****
Liseme liseme litaje litaje
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
mmmmh
kwani ni jambo
lipi hilo yeye asiloliweza
*****verse1*****
Yeye ni baba wa yatima
Yeye ni mume wa wajane
kwani ni jambo
lipi hilo yeye asiloliweza
yeye ni baba wa yatima
yeye ni mume wa wajane
ooh kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
oooooh
*****chorus******
Liseme liseme litaje litaje
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
kwani ni jambo
lipi hilo yeye asiloliweza
****verse2****
Yeye ni mponyaji
Yeye ni mkarimu, mlinzi mfariji wa ajabu
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
yeye ni mponyaji
yeye ni mkarimu, mlinzi mfariji wa ajabu
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza liseeeme
****chorus****
Liseme liseme litaje litaje
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
kwani ni jambo
lipi hilo yeye asiloliweza
kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Liseme liseme litaje litaje
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
kwani ni jambo
lipi hilo yeye asiloliweza
Liseme liseme litaje litaje
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
kwani ni jambo
lipi hilo yeye asiloliweza
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
kwani ni jambo lipi hilo
yeye asiloliweza
ooooh
lyric sync by Phellow 254790511905