Mnyunyizi Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Mnyunyizi Wangu - Dr Sarah K
...
uninyunyiziae maji
wakati wa ukame uachi ninyauke
ooh nakupenda×2
Nakupenda
nakupenda mnyunyizi wangu
oooh nakupenda
Nakupenda nakupenda
mnyunyizi wangu
oooh nakupenda
kama mti kando ya mto hivyo ndio nilivyo myunyizi wangu oooh nakupenda×2
Nakupenda
nakupenda
Mnyunyizi wangu
Oooh nakupenda
(kweli kbc) nakupenda
(nakiri )nakupenda
Mnyunyizi wangu
Ooh nakupenda
nakupenda nakupenda Jehova
Sina mwingine ila ww tu mnyunyizi wangu unaninyunyizia maji wakat wa ukame
huachi ninyauke
umeninawirisha Jehova
Nakuabudu
Nakuimbia nyimbo nakupenda
Sina mwingine Jehova nakupenda Mnyunyizi wangu oooh nakupenda
Nakupenda
Nakupenda
mnyunyizi wangu oooh nakupenda
nakiri nakupenda
Sina mwingine nakupenda
mnyunyizi wangu oooh nakupenda