Nina Sababu Ya Kukuabudu Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Ninasababu ya kukuabudu
Ninasababu ya kukusifu
Ukuu wako na uwaminifu wako
Nisababu ya kukuuabudu
Halleluya ninasababu ya kukuabudu
Halleluyah ninasababu ya kukuusifu
Ukuu wako na uwaminifu wakoo
Nisababu ya kukuuabudu
Uliniiumba ilinikuabudu
Uliniumba nikukusifu
Kwamfano wako uliniiumba
Ninasababu ya kukuabudu
Halleluya ninasababu ya kukuabudu
Halleluyah ninasababu ya kukuusifu
Ukuu wako na uwaminifu wakoo
Nisababu ya kukuuabudu
Ni sababu ya Kukuabudu