
Tunavesha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Tunavesha - Whozu
...
Switch
Pureperepepeeee whozu
Purepereperepee s2kizzy baby
Verse 1
Aaah oya si ni matajiri
Ganja kama tupo kwa mali tumeshasizi
Tabu sana kuona mbele ni majangiri
Wapo nyuma si tupo mbele makirikiri
Mwendo peku peku uliosuswa hata kandambili
Nina bonge la ndonga
Eii eei chunga usilete dharau chunga chunga chunga chunga
Natiririka na vitonga eei situmii nguvu angalau
Hook
Nachapaa eee
Je jejeje je chunga chunga chunga chunga
Je jejeje je
Manyakunyaku baby manyakunyaku hawakosekani
Manyakunyaku baby manyakunyaku hawakosekani chikichikichii
Chorous x2
Tunavesha
Mpaka majogoo
Tunavesha
Soda kanywe kwenu
Tunavesha
Kama demu wako yupo
Tunavesha
Jua yupo kwenye menyu
Tunavesha
Verse 2
Je jejeje je mmmh ma
Vipesa kama tumepora benki
Hakuna chako hapa hakiombeki
Lisura mbaya unajiona keki
Kibonge ukizima hubebeki yeeh
Mapema hii unaanzaje kulala eeh
Acha mapepe wewe (wewewe)
Hapo nje nimepaki mnyama
Na sio mkweche
Manyakunyaku baby manyakunyaku hawakosekani
Manyakunyaku baby manyakunyaku hawakosekani chikichikichii
Repeat Chorous
Zzzzzz Zombie
Mpaka majogoo
Soda kanywe kwenu eeh
Yupooo
Jua yupo kwenye menyu
(Eeeeie chunga chunga chunga chunga eeei ee)x2