
Mazoea Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Mazoea - Whozu
...
Intro
...
S2kizzy baby
Verse 1
acha nibaki kwako
furaha yangu uwepo wako baby
ukweli uko peke yako
nimeridhika mi mwenzako baby
wengine hawana ulichonacho
chako changu, changu chako ( changu ni chako)
kukuacha siwezi bado
kukuchoka ndo kwanza bado baby
Bridge
You are my beautifier
Take me higher oh my love
my desire kwangu pwayaa oh my love
my beautifier
take me higher oh my love
my desire wangu mwaya ooh
Chorus
Mazoea yana tabu
mazoea yana tabu oh
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
Verse 2
I wish uelewe
navyo tamani mi kuzaa na wewe boo
staki nichelewe
wajanja wasinizidi kelele boo
yote sababu ni wewe
nafanya kwa ajili yako
sababu ni wewe
nafanya kwa ajili yako tuu
nistiri kipenzi nisije umbuka
nikisinzia nifunike shuka
siwezi kuchepuka mi nakuogopa
yani kama uji kwako natokota
Bridge
You are my beautifier
take me higher oh my love
my desire kwako pwaya oh my love
my beautifier
take me higher oh my love
my desire wangu mwaya oooh
Chorus
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu oh
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu oh
mazoea yana tabu
mazoea yana tabu
Too much money
mix by doctor
...