Vavayo ft. Marioo Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Vavayo ft. Marioo - Whozu
...
Yes man yesa yesa Badii Zombiee shhhh Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee Nasema kama yangu nitaipata hata mkiibana Nasema kama yangu nitaipata hata mkiibana Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee Mungu baba tusamehe tumelewa Hii dunia kuna watu wanaboa Mungu baba tusamehe tumekunywa Hii dunia kuna watu wanakera Shikilii papapapapapolipo Shikilii papapapapapolipo Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa Shikilii papapapapapolipo Shikilii papapapapapolipo Wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavayo Vavayo Wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavayo Vavayo Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee Mungu baba tusamehe tumelewa Hii dunia kuna watu wanaboa Mungu baba tusamehe tumekunywa Hii dunia kuna watu wanakera Shikilii papapapapapolipo Shikilii papapapapapolipo Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa Shikilii papapapapapolipo Shikilii papapapapapolipo Wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavayo Vavayo Wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavayo Vavayo