KIJITO CHA UTAKASO Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
KIJITO CHA UTAKASO - Papi Clever & Dorcas
...
Kijito Cha utakaso ni damu ya yesu
Bwana anao uwezo kunipa wokovu
CHORUS:
kijito Cha utakaso
Nizame kuoshwa humo
Namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakaso,,,(twice)
Viumbe vipya naona damu Ina nguvu
Meharibu uovuu ulionidhurumu
CHORUS:
Kijito Cha utakaso
Nizame kuoshwa humo
Namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakaso,,,,(twice)
Naondoka kutembea Nuru Nina pingu
Na moyo safi kabisaaa kumpendezaaa munguuu
CHORUS:
Kijito Cha utakaso Nizame kuoshwa humo Namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakaso (twice )
Ni neema ya ajabu kupakwa na damu
Na bwana yesu kumjua yesu wa msalaba
CHORUS:
Kijito Cha utakaso Nizame kuoshwa humo
Namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakaso (twice )