![Tutazame kule mbele](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/10/e05570744f804dfda884773e1ea39fd2_464_464.jpg)
Tutazame kule mbele Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tutazame kule mbele - Papi Clever & Dorcas
...
Tutazame kule mbele asubuhi inakuja
Tuamini Mungu wetu atafanya kazi yake
Kufukuza mashetani kumiliki nchi yote (Tutashinda tukiomba Mungu anatusikia×2)
Tarumbeta inalia tuamke wote sasa
Mungu wetu anataka sisi sote tutakaswe
Kila mtu awe safi katika kabisa lake
(Kuliacha nung'uniko utapata nguvu yake×2)
Imanini watu wake Bwana yu pamoja nasi
Tutashinda majaribu kwa uwezo wake Yesu
Twende tumhudumie kwa kumpa mali yake
(Hata roho na akili zimtumikie Bwana×2)
Watu wengi hawajui njia ya kufika Mbingu
Wamekuwa wamefungwa kwa mikono ya shetani
Twende tukawatafute tuwavute kwa Mwokozi
Na kuomba na kukesha atakuja kwake Yesu×2
(Na kuomba na kukesha atakuja kwake Yesu×4)