
Ni heri kuona ndugu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni heri kuona ndugu - Papi Clever & Dorcas
...
Ni heri kuonga ndungu
Njiani pa kwenda mbingu
Tukinyonyong’onyea sana kwa
Kuwa tu peke yetu,
Kushirikiana kwa ndungu
Kunaturudisha moyo, na mungu
Atupa nguvu tukiyainua macho
Kushirikiana kwa ndungu
Kunaturudisha moyo,na mungu
Atupa nguvu tukiyainua macho
Na mungu atupa nguvu
Tukiyainua macho.........
Twafungamana rohoni,tulio wa
Nyumba yake, huoni ulimwenguni kushirikiana kwetu
Na tuma mwokoozi mmoja, Imani ni ‘moja pia, watoto wa baba ‘moja twashika sheria yake
Na tu mwokoozi mmoja,Imani ni
‘moja pia, watoto wa baba ‘moja
twashika Sheria yake
Watoto wa baba ‘moja twashika
sheria yake........
Furaha ya ulimwengu haitatuvuta tena, twaona kung’aa
‘kwake ni bure na bila kisa
Lakini tukikusanyika kwa jina la
Mungu baba atuandalia ‘kweli
karamu ilio bora
Lakini tukikusanyika kwa jina la
Mungu baba atuandalia ‘kweli
karamu ilio bora
Atuandalia ‘kweli karamu
ilio bora........
Tukivumilia hata ukomo
Wa mashindono mbinguni
tutawona
Wakristo wapenzi wote
“Halleluyah”
Tukivumilia hata ukomo wa
Mashindono mbinguni tutawona
Wakristo wapenzi wote
Hatutatawanyika huko, tu wote
umoja ‘kweli, milele tuta’pokaa
nyumbani kwa baba yetu
Hatutatawanyika huko, tu wote
umoja ‘kweli, milele tuta’pokaa
nyumbani kwa baba yetu Milele tuta’pokaa nyumbani kwa
Baba yetu
Milele tuta’pokaa nyumbani kwa
Baba yetu
Milele tuta’pokaa nyumbani kwa
Baba yetu
Milele tuta’pokaa nyumbani kwa
Baba yetu
Milele tuta’pokaa nyumbani kwa
Baba yetu
Milele tuta’pokaa nyumbani kwa
Baba yetu.........