Ukweli (Sewersydaa) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ukweli (Sewersydaa) - Wakadinali
...
Yoh Yoh
Manadriller
si tunatalent tuliacha kuiba
crime haipay my n***
only that utazikwa...au sio?
..............
Yoh Yoh
Ayoh Chinno you again
Chorus
Ukweli ukweli ukweli
unafaa ujue haijawai uzanga gazeti
Neti Juh aliseti
Kuna venye alipeanwa na peddi
RIP
Rip Kina Teddy
Daily waliball ni kaa weekendi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Eeh nmetravel
umeenda?
narudi Leo
Ndo niende Tena kitale
Heshima ni ya Caleb
Sijui alitoa wapi courage
Tena?
ya kuibia masake na cartridge
wah wah
na tulidhaningi wizi kwake ni past tense
Nina lyrics nani akona market?
naziuzanga flash sale
kwa CD na cassette
mbona ukonayo na unataka nisuffer?
Wacha hizo
hizi ndo matarehe kaa ukonaya nikanje
busy nkitafta mkate
we unexpect nikate
Yoh yoh
niache
Yoh yoh
maziwa tew ya packet
rarua juu ya packey
secure to the package
mi staki kuwa target
kings na hamna palace
aty mnashinda zabe
sita ata msurface
hamjui kupiga rampage
Chorus
Ukweli ukweli ukweli
unafaa ujue haijawai uzanga gazeti
haijawai bro
Neti Juh aliseti
Kuna venye alipeanwa na peddi
wah! wah!
RIP
Rip
Kina Teddy
Daily waliball ni kaa weekendi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Yoh
it's not easy out here
it's not
Jana street hauskii Kuna raia iliumia
Pah! Pah! Pah!
kuwa busy my dear
kama huna namna utajipata na mwania
walai
Yoh
hakuna mtu hupenda itos ikilia
akishow akiicork usitry kukwaria
usiwai
mobtise kama mafia kanyagia crimelife bro usitry kueka gear
prime time nine naskia tew masiren
gunshot live wanatrace watu kanne
for more than Karne
inakaa Leo ndo arubaine
getraiver infamee na KAZ ndo number plate
ni kuzied pandiway
sanse anataka ku intercept
ni mafee kuexchange wakakutiwa kwa pavement
payback is a b***h
system huwaga na Intel
hauskii walishonwa na hosi ikadai haichukuangi such
Chorus
Ukweli ukweli ukweli
unafaa ujue haijawai uzanga gazeti
Neti Juh aliseti
Kuna venye alipeanwa na peddi
RIP
Kina Teddy
Daily waliball ni kaa weekendi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Yoh
busy kutafta ganji
Hawa mambleina
weh unacome na utiaji
kanga mbleina
busy nkitafta ganji
weh ni?
Rong Rende
we unacome na utiaji
kanga
Yoh
busy nkitafta ganji
Wacha crime
weh unacome na utiaji
kanga mbleina
Wacha crime
Wacha crime