
Mema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema
Ni furaha kujua yesu unanipangia mema
Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema
Ni furaha kujua yesu unanipangia mema
Unaniwazia mema
Unanipangia mema
Unaniwazia mema
Unanipangia mema
Unasema ata kabla kuzaliwa
Nilikua nimepangiwa
Ukasema sitaweza kukaziwa
Ah kubaniwa
Unajua mambo yako yote
Mawazo yangu yote
Unajua kasoro zangu zote
Na ndoto zangu zote
So baba sitacomplicate
Baba ukisema sita hesitate
Mambo ya shetani sita tolerate
Kwa neno nita meditate meditate
You have good plans for me for me for me
You have good plans for me for me for me
Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema
Ni furaha kujua yesu unanipangia mema
Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema
Ni furaha kujua yesu unanipangia mema
Unaniwazia mema
Unanipangia mema
Unaniwazia mema
Unanipangia mema
Uko na mi step step
Kuniongoza nisihate step
Uko na mi step by step
Kuniongoza kila nikistep
Ulipenda mapema
Na umesema tena na tena
Ulipenda mapema
Na umesema tena na tena
All things are working for my good for my good
All things are working for my good for my good
So baba sitacomplicate
Baba ukisema sita hesitate
Mambo ya shetani sita tolerate
Kwa neno nita meditate meditate
You have good plans for me for me for me
You have good plans for me for me for me
Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema
Ni furaha kujua yesu unanipangia mema
Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema
Ni furaha kujua yesu unanipangia mema
Unaniwazia mema
Unanipangia mema
Unaniwazia mema
Unanipangia mema
Ni furaha kujua yesu.