
Amefanya Mungu (Acoustic version) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Amefanya Mungu (Acoustic version) - Paul Clement
...
Je ni nani angeweza
Kututoa chini mavumbini
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukumbatia
Je ni nani angeweza
Kutuinua kutuweka juu
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatuinua
Je ni nani angeweza
Kutupatia nafasi
Maana kila mtu alikataa
Ila Mungu akatupatia
Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali
Amefanya Mungu amefanya
Amefanya Mungu amefanya
Haikuwa rahisi kwa akili zetu
Amefanya Mungu amefanya
Amefanya Mungu amefanya
Amefanya Mungu amefanya
Haikuwa rahisi kwa akili zetu
Amefanya Mungu amefanya
Je ni nani angeweza
Kutukubali jinsi tulivyo
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukubali
Si elimu zetu uuuuuh
Si ujuzi wetu uuuuuh
Ila neema yake imetuweka hapa
Haikuwa rahisi
Vile namna neema yako inafanya
Hakuna elimu inaweza fanya
Hata kama ikishindana
Hata kama ikipambana
Neema yako itashinda
Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali
Amefanya, Mungu amefanya
Amefanya, Mungu amefanya
Haikuwa rahisi kwa akili zetu
Amefanya Mungu, amefanya
Amefanya, Mungu amefanya
Amefanya, Mungu amefanya
Haikuwa rahisi kwa akili zetu
Amefanya Mungu, amefanya
Amefanya, Mungu amefanya
Amefanya, Mungu amefanya
Haikuwa rahisi kwa akili zetu
Amefanya Mungu, amefanya
uuuuuuuh uuuuuh ...