
Yanga Mabingwa Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Yanga Mabingwa - Marioo
...
wananchi tumejipanga
hatukamatiki oooo
wananchi tunawaweza
hatuzuiliki
round hii wataupanda kwa kibwengo
round hii wakija na jino wanarudi na pengo
kila anayepita mbele yetu tunachinja tunatupilia mbali
wenzako wanatujua wananchi tumepinda wanatupitia mbali
sisi ndio yanga
Ale ale ale
sisi ndio mabingwa
Ale ale ale
sisi ndio yanga
sisi ndio bora
si wameutaka
si wameufuata
tuna tuna tuna tuna upiga mpaka tomorrow
hatuna dogo
tunawafunga mpaka tomorrow
wakipita mbele tunachinja tunatupilia mbali
wenzako wanatujua wananchi tumepinda
wanatupitia mbali
sisi ndio yanga
Ale ale ale
sisi ndio mabingwa
Ale ale ale
na sisi ndio bora
Ale ale ale