
JEHOVAH (LIVE) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Siku zote nitakusifu Mungu mfalme
Jinalo Baba nitalibariki milele
Kila kuchao nitabariki jina lako
Kwa maana wewe ndo wastahili sifa
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Ni nani Baba alona sifa kama zako
Ni nani Baba atendae matendo kama yako
Uliumba kwa kinywa chako Baba
Ndipo nakiri wewe pekee ndiwe Mungu Hallelujah
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Waheshimika watambulika kote
Mataifa na wafalme wanakuinamia
Umetetemesha ngome zote za shetani
Kifo na mauti ulishinda wewe ni Mungu wangu nakusifu wee
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele
Jehovah wewe ni Mungu mfalme
Jehovah wewe ni Baba mweza
Kinywa changu kitanena sifa zako
Nitalibariki jinalo milele na milele