Wako Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Wako - Golden Tz
...
Acheni nilie nae nimeridhika
Nipigwe mawe mtanizika
Acheni nikeshe na yeye usiku kucha
Atake nywele mi nitamsuka
Ona aiyoo niliomba tone
Umejaza pipa
Uchawi huo nazima data
Jumbe zinafika
Mwenzio umekoleza wino hautofutika
Mi kiportable ila busu lako mi nafutuka
Niwe wewe
Niwe wewe
Niwe wewe
Kwako sina songombingo
Niwe wewe
Niwe wewe
Niwe wewe wewe
Wacha wanikate hata shingo
Niwewe wewe
Wewe
Niwewe wewe
Wewe
Ni wewe wewe
Kama kisiki cha mpingo
Niwewe we we we
Niwewe we we we
Niwe wewe weee
Nigalagaze mi ni wakoo
Ooh wowoo
Nana naaa nana naanaaa
Nana naaaa nana nanaana
Kama soccer nimetuliza boli
Sipigi dana dana nimetuliaa
Nimetuliaa
We okocha unipige kadari
Basi tobo malizia
Mmmmh
Ayo maringo
Mwenzako ukintazama kodo nakodoa
Mi nakodoaa
Nyuma kifundo
Eti kasura umekapodoa
Umekapodoa
Ona aiyoo niliomba tone
Umejaza pipa
Uchawi huo nazima data
Jumbe zinafika
Mwenzioo umekoleza wino hautofutika
Mi kiportable ila busu lako mi nafutuka
Niwewe we we
Niwewe we we
Niwewe we weee
Kwako sina songombingo
Niwewe we we
Niwewe we we
Niwewe we weee
Wacha wanikate hata shingo
Niwewe wewe we
Niwewe we we we
Ni wewe weweeee
Kama kisiki cha mpingo
Niwewe we we we
Niwewe we we we
Niwe wewe weee
Nigalagaze mi ni wako