Ni wewe Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2017
Lyrics
Safari yangu ya mapenzi mi na wewe
Ilikuwa tabu, tabu kipenzi
Furaha yangu ni wewe nielewe
Sina mwengine wa kunienzi
Safari yangu ya mapenzi mi na wewe
Ilikuwa tabu, tabu kipenzi
Furaha yangu ni wewe nielewe
Sina mwengine wa kunienzi
Yatazame macho yangu
Yanalia na wewe
Nateseka na mapenzi basi nihurumie
Tazama kope na macho
Yana wasiwasi nawe
Nateseka na mapenzi basi nihurumie
Eeeh
Ni wewe mama ni wewe
Uloweza kukidhiki haja ya moyo ni wewe
Ni wewe mama ni wewe
Uloweza kunipeleka puta ni wewe
Ni wewe mama ni wewe
Aaaaahna aaaha
Ni wewe mama ni wewe
Aaaaahna aaaha
Kama mapenzi libwata
Endelea kuniroga
Ukinifanya kibuzi
Endelea kunichuna
Kama mapenzi karata
Endelea kuniroga
Ukinifanya kidumu
Endelea kunichuna
Yatazame macho yangu
Yanalia na wewe
Nateseka na mapenzi naomba nihurumie
Tazama kope na macho
Yana wasiwasi nawe
Nateseka na mapenzi naomba nihurumie
Eeeh
Nataka kumwambia lakini ataninua
Atanisusia atanizilia
Naogopa kumwambia kama ataninunia
Atanisusia Atanizilia
Nataka kumwambia lakini ataninua
Atanisusia atanizilia
Naogopa kumwambia kama ataninunia
Atanisusia Atanizilia
Ni wewe mama ni wewe
Uloweza kukidhiki haja ya moyo ni wewe
Ni wewe mama ni wewe
Uloweza kunipeleka puta ni wewe
Ni wewe mama ni wewe
Uloweza kukidhiki haja ya moyo ni wewe
Ni wewe mama ni wewe
Uloweza kunipeleka puta ni wewe