Lonely Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Yoo yooo yooo
You knew me from the start
Unanijua toka mwanzo
Tena unajuaa
Kwako bwege hamnazo
Tena namtambua
Huyo mwehu
Aliyeuteka moyo wako
Na ataniua
Astaghfirullah
Mahaba yenu pambe moto
Baby lonely
Mwenzako niko lonely
Mama mwenzako Lonely
Mwenzako lonely
Baby Lonely
Mwenzako nakufa Lonely
Mwenzako niko Lonely
Baby Lonely
Tena Inshallah
Panapo majaliwa
Na harusini nitakuja
Kuja kuja kuja
Na ntaleta zawadi
Mimi mwenzako moyo safi
Kuachana si uadui
Japo inaniuma sitambui
Tena namtambua
Huyo mwehu aliyeuteka moyo wako
Na ataniua
Astaghfirullah
Mahaba yenu pambe moto
Baby lonely
Mwenzako niko lonely
Mama mwenzako Lonely
Mwenzako lonely
Baby Lonely
Mwenzako nakufa Lonely
Mwenzako niko Lonely
Baby Lonely
Tena Inshallah
Panapo majaliwa
Na harusini nitakuja
Kuja kuja kuja
Na ntaleta zawadi,
Mimi mwenzako moyo safi
Kuachana si uadui ,
Japo inaniuma sitambui
Japo Penzii
Penzi la makolo kolo,
Nimekuwa ka kolo kolo
Umeniacha mimi solo solo
Nimechacha kiporo poro
Penzi la makolo kolo,
Nimekuwa ka kolo kolo
Umeniacha mimi solo solo
Nimechacha kiporo poro
Kolo kolo kolo kolo kolo
Solo solo solo solo solo
Kolo kolo kolo kolo kolo
Solo solo solo solo