Hohehahe Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2018
Lyrics
Mwalimu wa busara na hekima ni mama yangu
Na nguzo ya mjinga kaa kimya
Usijibu katu
Mi nina macho naona si kipofu
Tena ulimi koma usithubutu
Nitende vipi? hata shubiri
Ikageuka tamu
Niimbe vipi mi mkaguru ukitaka hata kizaramo
Sipigi kelele ni wewe engine ya moyoni
Nipige na ndere kwa wewe
Sitoki hasirani
Nitavumilia tu
Nitapiga goti na kuomba
Wajua kwako mi mgonjwa
Nimegundua we kidonda
Nikitonesha nitajiponza
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Naamini hata leo au kesho mama
Utabadilika
Sifosi unywe maji
Utaniambia kiu ikishika eeh
Niliapa wewe ni wangu ma
Mvua mafuriko hata njaa
Wala sitokata tamaa
Niko nawe giza hata taa
Hata taa hata chini nitalala
Ndo nishapenda niko radhi niteseke
Sipigi kelele ni wewe engine ya moyoni
Nipige na ndere kwa wewe
Sitoki hasirani
Nitavumilia tu
Nitapiga goti na kuomba
Wajua kwako mi mgonjwa
Nimegundua we kidonda
Nikitonesha nitajiponza
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Niliekupenda ni wewe
(Ni wewe niwewe)
Tena nitazikwa na wewe
(Na wewe wewe)
Ukinuna nitajing'ata, tena niongezee na limbwata
Mi cd we ndo kasha
Yeieye iyey
Nitapiga goti
(Na kuomba)
Wajua kwako
(Mi mgonjwa)
Nimegundua
(We kidonda)
Nikitonesha
(Nitajiponza)
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe
Mi kwako
Hohehahe
Hohehahe