Mshua ft. Linah Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Mshua ft. Linah - Nay Wa Mitego
...
Kwenye familia ww ndio kichwa
Na tuliona ulivyopambana
Lakini mimi na wadogo zangu bado tulisema hivi nani kama mama
Kuna kipindi home ulilala saa tisa
Alafu unaamka asubuhi sana
Bado vitu usipokamilisha ata viwe vidogo tunakupa lawama
Tulizaliwa home hakuna tv
Hakuna feni hakuna ac
Kwa jirani ndo kuna tv
Ulisema tuvumilie haituingii
Ulikua na uwezo ukakimbia ukatuacha
Aaaah
Ulikomaa nasi japo maisha yalikuchapa aaah
Baba umenifundisha mtoto wakiume hakimbii majukumu
Haikututerekeza japo maisha yalikua magumu
You the best dady i swear
Kila goti nalopiga nakuombea
Asante baba umenifunza mengi
Mpaka nimekua umeupiga mwingi
Najivunia kua na bonge la dingi
Ni kweli hakuna kama mama
Lakini ukipapambana ukabeba jukumu la uyo mwamba utajua hakuna kama baba
Anaitwa baba (baba baba)
Anaitwa baba (baba baba)
Kila zawadi ninayowaza kukupa haitoshi
Magari manyumba havitoshi
Kwenye giza ulinimulikia tochi
You're the best dady god bless you
Ilinisiwe mjinga ulinipeleka shule (peleka shule)
Ukalima ukabeba zege ilimladi wanao tule
Ilipofika sikukuu uliakikisha familia inapendeza
Mama anapendeza mimi napendeza
Ikisha tunakunywa nakucheza
Siwezi lipa ulichowekeza
Asante baba umenifunza mengi
Mpaka nimekua umeupiga mwingi
Najivunia kua na bonge la dingi
Baba umenifundisha mtoto wakiume hakimbii majukumu
Haikututerekeza japo maisha yalikua magumu
You the best dady i swear
Kila goti nalopiga nakuombea
Asante baba umenifunza mengi
Mpaka nimekua umeupiga mwingi
Najivunia kua na bonge la dingi
Ni kweli hakuna kama mama
Lakini ukipapambana ukabeba jukumu la uyo mwamba utajua hakuna kama baba
Anaitwa baba (baba baba)
Anaitwa baba (baba baba)