![NJONI TUMWABUDU BWANA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/12/56ca26a2c9934306a4fe5590925d0366_464_464.jpg)
NJONI TUMWABUDU BWANA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NJONI TUMWABUDU BWANA - Catholic Church Songs
...
Njooni Tumwabudu Bwana Lyrics
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Njooni tumjongee, njooni kwa masifu
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Tumfanyie shangwe, mwamba wa wokovu,
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Yeye ndiye mfalme, wa wafalme wote
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Milima ni yake, pia makorongo
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Bahari ni yake, pia nchi kavu
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Yeye Mungu wetu, alituumba
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
Sisi ndio watu, wa malisho yake
Njooni tumwabudu Bwana
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2