![Nimeitika Wito](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/03/141175512f4746aeaef759a7b35350e5_464_464.jpg)
Nimeitika Wito Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimeitika Wito - Catholic Church Songs
...
Naskia sauti nzuri kama ya malaika ni sauti toka mbinguni sauti ya mungu aniita mimi niende nikamtumikie anitume shambani mwake nikavune yote umeniita nimeitika wito nakuja kwako leo najongea mbele zako bwana nipokeeni mi niko tayari nimeyaacha yote najikabidi kwako unitume popote na mi nitakwenda haraka*2 Ninaenda mimi naenda ninaenda mwenyewe ninaenda mbele za bwana sitarudi nyuma ndugu zangu na marafiki muniache niende nikafanye kazi ya bwana nitakapotumwa **back to chorus ** 3 Nilitazama moyo wako moyo wako mwanangu hata kabla hujakabidhi nilikuchagua nilikuteua mapema kazi ya ndugu zako umekua ni wangu mimi kuhani mkubwa **back to chorus ** 3 Shamba lake bwana ni kubwa na mavuno ni mengi wavunaji ndio wachache nitakwenda mimi ninakuomba sana eeh bwana nipeleke shambani nikavune mavuno yote yaliyo tayari **back to chorus **3 Uwe nami siku kwa siku wala usiniache unikinge na majaribu nimedhaliwa nipeleke habari ndefu ulimwenguni watu wote wakutambue **back to chorus ** 5