![Nimeonja Pendo Lako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/03/db0448cd20914c209c632c6b02f96ece_464_464.jpg)
Nimeonja Pendo Lako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimeonja Pendo Lako - Catholic Church Songs
...
nimeonja pendo lako nimejua u mwema nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha
nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
ukarimu wako bwana, na huruma yako wewe, msamaha wako bwana na upole wako wewe,
?