![Nakuabudu Yesu katika Hostia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/11/1b412cdf8c15449a9ae6789b8629fe6d_464_464.jpg)
Nakuabudu Yesu katika Hostia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakuabudu Yesu katika Hostia - Catholic Church Songs
...
Twakuabudu yesu katika Hostia
Umungu kweli na mwanadamu
katika sakramenti
(Twakuabudu fudifudi e mfalme mtukufu wa milele*2)chorus
E yesu kwa mapendo unakaa kwetu
u mgeni toka mbinguni
twakuja kuabudu
baraka yako resu utupatie tukinge na maovu ya leo tuishi kwa amani
uwabariki pia wapenzi wetu uwajalie neema yako watoe shukrani kii