Njia ya Msalaba
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Njia ya Msalaba - Catholic Church Songs
...
* * * * * *
Umekosa Nini we Yesu, kushtakiwa bure kwa Pilato
Wenye kustahili hukumu, si wewe, si wewe, Bwana ni sisi
Ole msalaba huo mzito, apagazwa Mwana Mpenzi wa Mungu
Mwili waenea mateso, alipa, alipa madhambi yetu
Ona Mumba Mbingu na nchi, yupo chini mzigo wamwelemea
Na mtu kiumbe chake kwa ukali, ampiga, ampiga bila huruma
Huko njiani we Maria, waonaje hali ya mwanao
Ni damu tupu na vidonda, machozi, machozi yamfumba macho
Kwa Simoni heri ya kweli, mimi pia Yesu nisaidie
see lyrics >>Similar Songs
More from Catholic Church Songs
Listen to Catholic Church Songs Njia ya Msalaba MP3 song. Njia ya Msalaba song from album Nitamwita Yesu Ndiye Ngome Yangu is released in 2023. The duration of song is 00:08:05. The song is sung by Catholic Church Songs.
Related Tags: Njia ya Msalaba, Njia ya Msalaba song, Njia ya Msalaba MP3 song, Njia ya Msalaba MP3, download Njia ya Msalaba song, Njia ya Msalaba song, Nitamwita Yesu Ndiye Ngome Yangu Njia ya Msalaba song, Njia ya Msalaba song by Catholic Church Songs, Njia ya Msalaba song download, download Njia ya Msalaba MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Nyangoma Rosemaryed40a
wow thank u lord