
Tunamjua Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tunamjua - Marioo
...
Halooo, shi!
We Mushizzo, utawaua
Anapenda umalaya (hata sisi tunamjua)
Kazi yake kudanga (hata sisi tunamjua)
Hajawahi kataa (hata sisi tunamjua)
Masela huyo mtoto (ana umeme)
Wahuni huyo mtoto huyooo (ana umeme)
Anapenda mademu (hata sisi tunamjua)
Hata range anahonga (hata sisi tunamjua)
Hajawahi kataa (hata sisi tunamjua)
Jamani huo mdangaa (una umeme)
Nasema huo mdangaa huoo (una umeme)
Mtoto mdogo mdogo wa mambo (hata sisi tunamjua)
Mtoto mdogo anapenda Tambo (hata sisi tunamjua)
Michezo ya buza kaanza kitambo (hata sisi tunamjua)
Huyo mtotoo (anayeweza) Aloo
nasema huyo mtoto huyooo (anayawezaa)
Mtoto mdogo mdogo wa mambo (hata sisi tunamjua)
Mtoto mdogo anapenda Tambo (hata sisi tunamjua)
Leo kapanda mtumbwi wa vibwengo Mtoto mdogo mdogo wa mambo (hata sisi tunamjua)
Mtoto mdogo anapenda Tambo (hata sisi tunamjua)
Mwacheni huyo mtotoo (kayakanyaga)
Oya Mwacheni huyo mtotoo (kayakanyaga)
(hata sisi tunamjua)
(hata sisi tunamjua)
(hata sisi tunamjua)
Kapita kariakooooooooooooo
Wamempukutisha
we kapita kariakoooooooooooooooooo
Acha niseme na wanangu, watoto wa Jangwani, wananchiiiiiii
We peperusha peperusha peperusha
peperusha peperusha peperusha
We peperusha peperusha peperusha
peperusha peperusha peperusha
Wapi wanangu wa wekundu wa msimbazi
Aloo weee
we naliamsha mwenenu naliamsha
naliamsha mwenenu naliamsha
We Mushizzo, mpe abbah
(hata sisi tunamjua)
(hata sisi tunamjua)
(hata sisi tunamjua)