
Nikiziangalia Mbingu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikiziangalia Mbingu - Rajo Productions
...
{ Nikiziangalia mbingu, ni kazi ya vidole vyako
Mwezi na nyota za Mbinguni, ulizoratibisha wewe } *2
Naye mtu ni kitu gani, hata naye umkumbuke
Naye binadamu ni nani, hata naye umuangalie
Umemfanya punde mdogo ni mdogo kuliko Mungu
Umemvika taji yake, taji ya utukufu na heshima
Umemtawaza juu ya kazi, ni kazi ya mikono yako
Umevitia vitu vyote, chini ya miguu yako ee Bwana
Kondoo nao ng'ombe wote pia wanyama wa kondeni
Ndege wote wa angani na samaki wote wote baharini
Similar Songs
More from Rajo Productions
Listen to Rajo Productions Nikiziangalia Mbingu MP3 song. Nikiziangalia Mbingu song from album Nikiziangalia Mbingu is released in 2023. The duration of song is 00:03:36. The song is sung by Rajo Productions.
Related Tags: Nikiziangalia Mbingu, Nikiziangalia Mbingu song, Nikiziangalia Mbingu MP3 song, Nikiziangalia Mbingu MP3, download Nikiziangalia Mbingu song, Nikiziangalia Mbingu song, Nikiziangalia Mbingu Nikiziangalia Mbingu song, Nikiziangalia Mbingu song by Rajo Productions, Nikiziangalia Mbingu song download, download Nikiziangalia Mbingu MP3 song