Malipo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Malipo Mp3 - Otile Brown
...
Ujumbe nimeusoma na salamu nimezipokea
Nami mzima wa afya nashukuru
Ila hali bado ngumu
Lakini bado sijakata tamaa
Kwenye juhudu na ndoto zangu ulidai kua ndogo
Mmh nimekubali matokeo nanaelewa sababu zako zakuniacha kwahilo sitokuhukumu
Kinachoniuma kutoka na rafiki wangu wa dhati
Kundharau na kunidhihakii
Mmh kinachoniuma hvi umencheet mara ngapi mbele ya macho yangu bila kujua
Ooh mali maliipo ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya ila nakuchukia
Mali malipo ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya ila nakuchukia
Umasikini wangu unaniponza ewalaaa
Ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia nimesahau jina lako sikumbuki mie
Ooh ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia nishasahau ata sura yako
Jeraha uloniachia mi sidhani ka ntapenda tena umenivuruga mama umenvuruga
Jeraha uloniachia mi sidhani ka ntapenda tena umenvuruga
Kinachoniuma kutoka na rafiki wangu wa dhati
Kundharau na kunidhihakii
Mmh kinachoniuma hvi umencheet mara ngapi mbele ya macho yangu bila kujua
Ooh mali maliipo ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya ila nakuchukia
Mali malipo ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya ila nakuchukia