![Wanajisumbua](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/16/585bb54de67d49eca0837b13065ff1ed_464_464.jpg)
Wanajisumbua Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Wanajisumbua - Ruby Tz
...
Hey! Acha wanaomtuma njiwa
Mi nautuma moyo
Na ulimi wangu kuyanena haya
Report limejibiwa imetulia rohoo
Kwa mwandani wangu hayaa
Tiba ninapougua uniagua kwa wakati
Eti kunichua raha tabu sipati
Nauvuna mua naula ata fundo sikati
Anavyoyajua fundi fundi mahabati
Ka naota mwenzenu kama naota
Ata kwa rupia kwake siwezi ponyokaa
Aah nishakaa na ndotushang'aa na nyota
Kwake natulia ndege wake kwa kiota
Oh kama maneno mshasikia sana (wanajisumbua)
Kwake nipo kwa marefu na mapana (wanajisumbua)
Oh kwakwaru kwakwaru kukuru kama panyaa (wanajisumbua)
Izo mbilinge zao wamejichanganya (wanajisumbua)
Uuyeeehh oooyeeh
Kapendezwa na tabia kitandani nayajua
Ah kaniambia ye ameridhia
Penzi anajipimia kibaba hujijaziaa
Amebobea anavyokamia
Na anavyonipatiaa raha sana
Baba anazichange gia anakazana
Ka naota mwenzenu kama naota
Ata kwa rupia kwake siwezi ponyokaa
Aah nishakaa nando tushang'aa na nyota
Kwake natulia ndege wake kwa kiota
Oh kama maneno mshasikia sana (wanajisumbua)
Kwake nipo kwa marefu na mapana (wanajisumbua)
Oh kwakwaru kwakwaru kukuru kama panyaa (wanajisumbua)
Izo mbilinge zao wamejichanganya (wanajisumbua)