![Sesa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/18/cd79100e14054a9aae503de2261df5a4_464_464.jpg)
Sesa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Sesa - Ruby Tz
...
Sesaa
Sesa sesa
Sesaa
Mwana sesa
Sesaa
Sesa sesa
Sesaa
Mwana sesa
Mwana sesaa aaah
Nakupenda mwana sesa
Mwana sesaa aaih
Umezaliwa kwa udongo sifa nakupa bure
Ata ujapaka mukongo unafanya nafika kulee
Oouuh mwana sesa (sesa)
Sesaaa aaah (sesa)
Hey! Nasema nasema nasema adharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwengine mgawie
Nasema nasema nasema adharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwengine mgawie Baba wee uuuh
Ooh sesa (sesa)
Nakupenda mwanzio (sesa sesa)
Ooh sesa (sesa)
Nakupenda mwenzio (mwana sesa)
Mambo aste aste (sesa)
Ujanikatiri mwenzio (sesa sesa)
Acha nidate date (sesa)
Nikiangua kilio (mwana sesa)
Hajanichota kaunyayo wala kunifanya zezeta
Haya ni mapenzi yanayofanya nijielezee
Ashanijaza manyota ona ninavyopepea
Kwa kiringe maruhani ameyatuliza
Akinishika hapa shika pale
Taratibu naenjoy
Ndege nishanasa sichomoi
Ananifanya naenjoy
Beibee
Nasema nasema nasema adharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwengine mgawie
Nasema nasema nasema adharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwengine mgawie Baba wee uuuh
Ooh sesa (sesa)
Nakupenda mwanzio (sesa sesa)
Ooh sesa (sesa)
Nakupenda mwenzio (mwana sesa)
Mambo aste aste (sesa)
Ujanikatiri mwenzio (sesa sesa)
Acha nidate date (sesa)
Nikiangua kilio (mwana sesa)
Uuuuuh uuuh eeeih uuuuuh
Sesa mwana mama
Uuh sesa
Uuh sesa
My baby sesa
Sesa mwana mama
Ooooh ooooh
Sesa mwana mama ooooh