Tai Chi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tai Chi - Ruby Tz
...
Nguo kaishonaaa wanavyotawala wameifumua
Leo mungu kaniona kanijibu zangu dua
Penzi mbaazi nakula uku najiramba
Kaniunga na nazi samaki namparua eeeh
CHORUS
Kula umbakishie baba sibakishi mi navimaliza na kama tonge likinikwama ye ndo maji ananituliza ai nikitaka za taichii sawaa
Ajapigiwa anacheza mwali nadililika ayaa
tui sitemi nacheza beib staili ganiiii ooh taichi
Mbona umeganda hewani oooho taichi
vurugu kwakwaru kama nyani ohho taichi kwani mwalimu wako nani eeeeh
Kanipa yote nidabue dambu dambu nirumbue
Kaniruhusu niamue nitake nini nichague nifunike unifunue nibandike unibandue eeeh
Chorus