Na Yule Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mapenzi hayana mwenyewe,
Unaweza ukapenda kijana au mzee
Niite jina langu baby,
Huenda nafsi yangu itapoa
Shika moyo wangu baby,
unavyo kwenda mbio wewe utapoa
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema oooh
Ila bado sio mbaya
wewe ndo unaejua maumivu yangu
iih baby, Ila bado siyo mbaya
wewe ndo unaejua maumivu yangu
Sipo radhi initoke machoniii
Tembea nami ndotoniii
Ntakuweka moyoniii
Bila hofu rohoniii baby
Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule eeh
namwamini sana
ahhhhh ahhhhhh ahhh
Baby, sitaki kutazama nyuma tena.
mmh, maumivu nilisha yaona
Wengi walinipotezea muda, mmh
hakuna nilichokipata
ahh ahh ah
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema oohh
Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu
Ihhh baby, Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu
Sipo radhi unitoke machoniii, tembea nami ndotoniii
Nitakuweka moyonii bila hofu rohoniii baby
Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule eeh
namwamini sana
(Oooh ..........)
Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule eeh
namwamini sana X2
--- www.LRCgenerator.com ---