![Fall In Love](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/3f2b2ba925504beebc836453f22d9e18_464_464.jpg)
Fall In Love Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Fall In Love - Ruby Tz
...
Chiroho safi nmekupa moyo ukae nao
Mie akili zaniruka siachi mbachao
Yeye aki mie ukwa yani wapendanao ooh
Penzi moto unafuka acha waungue waoo
Hey! Namaumivu ya mapenzi wala sitaki tena ata kuwaza
Hukunoga mapenzi yani sitaki tena ata kuwaza
Uuueeh! Eeeiiihhh ata kuwazaa
Oiyeeeeh! Mmmmmh! Ata kuwaza
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Najua wewe wangu maisha
Najua mapenzi yanaumaa
Basi vuta nivuta ili penzi tuliwambe
Boy i give baby i give you mtima wange
Nimefall in love (fall in love)
Ooh nimefall in love (fall in love)
Hey! Namaumivu ya mapenzi wala sitaki tena ata kuwaza
Hukunoga mapenzi yani sitaki tena ata kuwaza
Uuueeh! Eeeiiihhh ata kuwazaa
Oiyeeeeh! Mmmmmh! Ata kuwaza
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Uuuuuuuuuuh
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)
Nimefall in love (fall in love)