
Mapepe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mapepe - Jux
...
Labda uliza moyo wangu
Ndo umenifanya mi nifike mapema
Mama uliza moyo wangu
Unavyonitesa imenibidi kusema
Zamanii kutoka zamani mama
Kua na ndoto siku moja ukae nyumbani
Husikatishe penzi ghafla ndo kwanza penzi letu linanoga tu
Kama shida wote tumepata
Sasa unachokitaka unapata boo
Husilikatishe penzi leo
Mana kwanza linanoga tu
Unachokitaka unakipata sasa
Aah mapepe ya nini (pepe)
mapepe ya nini (pepe)
Mapepe ya nini
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Aah mapepe ya nini (pepe)
mapepe ya nini (pepe)
Mapepe ya nini
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Punguza mapepe
Mama serebu africa mama serebu
Mziki unamatter shebeduka
Napendelea vidole uking'ata macho juu
Yako thamani ni zaidi ya dhahabu
Nafanya hisani usije pata tabu
Zamanii kutoka zamani mama
Kua na ndoto siku moja ukae nyumbani
Husikatishe penzi ghafla ndo kwanza penzi letu linanoga tu
Kama shida wote tumepata
Sasa unachokitaka unapata boo
Husilikatishe penzi leo
Mana kwanza linanoga tu
Unachokitaka unakipata sasa
Aah mapepe ya nini (pepe)
mapepe ya nini (pepe)
Mapepe ya nini
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Aah mapepe ya nini (pepe)
mapepe ya nini (pepe)
Mapepe ya nini
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Acha iendee
Acha iendee
Punguza mapepe