
Nidhibiti ft. Zuchu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nidhibiti ft. Zuchu - Jux
...
Uhali gani unaefanya moyo wangu unadadarika
Niko twabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka
Umeniweka rehan changu kiwili wili moyo umeuteka
Umeniathiri honey nishaharibika mbaya kwa yako makopa
Kama mapenzi kitabu ungekua kurasa ya katikati
Ukichanwa wewe story haiendelei
Aah nakupenda mpaka adhabu
Baby nahisi kuna hati hati
Ukiniacha wewe wallah mm sitoboi
Honey honey (honey)
Wangu wa ubani bani
Mimi ndege wako sa manati ya nini
Nakupa ruksa wee
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Nakupa ruksa wee
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Ewe baby
Ewe baby
Mke wangu
Mume wangu
Mimi na wewe hadi milele
Ooh Mbivu ziwe mbichi nivyakwetu sisi
Sijali nisharidhia yaya
Wabaya wanafki watafute vitu
Wakae kwa kutulia yaya
Upendo kwetu faradhi umepita sunna
Rabbi hatuifadhi mpka kufika chanda
Ooh na mimi kwako illah kufa kuzikana
Wambie wavunje nazi si tumeshindikana
Honey honey (honey)
Waangu wa ubani bani
Mimi ndege wako sa manati ya nini
Nakupa ruksa wee
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Nakupa ruksa wee
Nidhibiti nidhibiti nidhibiti
Added by @togolamama9