Pesa za Miyeyusho... Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
VERSE 1
Eti wao wanasema ni wakuu
Kumbe watu wao ni waongo tu
wanajali mali na kutushibisha ugali
kumbe mambo yao ni ya jana tu
INTERLUDE
Hawajui navyokula
hawajui navyolala
hawajui navyo ishi mi'
Maneno yao ni matamu
ahadi zao nazo tamu
lakini naumia tu
CHORUS
Huko uliko ujue huu wimbo ni wa kukuamsha
maneno ya ujinga yasikupe ujinga kwa pesa za miyayusho
INTERLUDE
Hawajui navyokula
hawajui navyolala
hawajui navyo ishi mi'
Maneno yao ni matamu
ahadi zao nazo tamu
lakini naumia tu
VERSE 2
Saa hii, nataka mimi
Upendo ukweli uaminifu
Sitaki rushwa na udanganyifu
INTERLUDE
Hawajui navyokula
hawajui navyolala
hawajui navyo ishi mi'
Maneno yao ni matamu
ahadi zao nazo tamu
lakini naumia tu
CHORUS
Huko uliko ujue huu wimbo ni wa kukuamsha
maneno ya ujinga yasikupe ujinga kwa pesa za miyayusho
BRIDGE
Tanzania, oh watanzania
OUTRO
Hawajui navyokula
hawajui navyolala
hawajui navyo ishi mi'
Maneno yao ni matamu
ahadi zao nazo tamu
lakini naumia tu