Life Is... Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
CHORUS
It won't matter,
Who you gonna be
If you don't live, life fully
Leave/give your worries
to the King
Work on your dreams
BRIDGE
Utalala wapi? Wapi?
Utashinda wapi? Wapi?
Utakula wapi? Wapi?
Wapi? Wapi?
VERSE 1
Asubuhi kumekucha,
taratibu natupa shuka
nina amka, weka mwili safi
soap soap, napiga mswaki
Napiga goti Mungu aniongezee
Maadui wanipotezee
Napiga goti Mungu anisamehe
wanafki anioneshee
Nilichopewa mimi; wewe huna
sasa kwanini; unajivuna
Piga moyo konde usikate tamaa
Wote tuko bize kwanini ufe na njaa?
Ulichopewa wewe, mimi sina sasa
kwanini mimi najivuna
napiga moyo konde na sikati tamaa
wote tuko bize hatushindi na njaa?
CHORUS
It won't matter,
who you gonna be
If you don't live, life fully
Leave/give your worries
to the King
work on your dreams
BRIDGE
Utalala wapi? Wapi?
Utashinda wapi? Wapi?
Utakula wapi? Wapi?
Wapi? Wapi?
VERSE 2
Unapo amka asubuhi na mapema
Una amka ukitaka siku njema
Una zunguka zunguka, siku nzima
Unakuja kushtuka, shtuka
Umejawa na hasira, hasira
Yan ni mizuka, mizuka
Dili zimezima, zizima
Tambua kuna Mungu, Yupo kwa ajili yetu
Yeye ndiyo jibu, la maisha yetu
Kwani alikufa; Kwa ajili yetu
CHORUS
It won't matter,
who you gonna be
If you don't live, life fully
Leave/give your worries
to the King
work on your dreams
BRIDGE
Utalala wapi? Wapi?
Utashinda wapi? Wapi?
Utakula wapi? Wapi?
Wapi? Wapi?
VERSE 3
Life lina Bang bang
Au lina Bamba
Kama lina Bang bang
Hakikisha linakuwa Bomba
Life lina Bang bang
Au lina Bamba
Kama lina Bang bang
Hakikisha linakuwa Bomba Bomba
CHORUS
It won't matter,
who you gonna be
If you don't live, life fully
Leave/give your worries
to the King
Work on your dreams
BRIDGE
Utalala wapi? Wapi?
Utashinda wapi? Wapi?
Utakula wapi? Wapi?
Wapi? Wapi?