Napenda Kuimba (Bonus Track) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
VERSE 1
Watu hutenda yaliyo mema
Wakitarajia malipo mema
Huwapendelea walio wao
Lakini wewe Bwana si kama wao
CHORUS
Napenda kuimba fadhili zako
Zinazodumu milele yote
El Shaadai ni Muweza yote
Wewe ni mwema,
Hufananishwi
VERSE 2
It won't matter, who you gonna be
If you don't live, life fully
leave/give your worries to the King
work on your dreams
VERSE 3
We are a chosen generation,
called out to show his excellence,
all we're required for life God has given us,
is we know who we are
CHORUS
Napenda kuimba fadhili zako
Zinazodumu milele yote
El Shaadai ni Muweza yote
Wewe ni mwema,
Hufananishwi