Tawala Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
VERSE 1
Hata nikishinda njaa, nilale bila kula
Haujawahi nitupa baba.
Napokuwa majaribuni, shetani akirubuni
Haujawai nitupa baba
BRIDGE
Nitawale, Nitawale, Nitawale, Nitawale baba * 4
CHORUS
Yesu tawala maisha yangu, oo ooo oo ooo × 2
VERSE 2
Nikiwa darasani napofanya mitiani, kimbilio ni wewe baba
Bila wewe sina raha...
BRIDGE
Nitawale, Nitawale, Nitawale, Nitawale baba * 4
CHORUS
Yesu tawala maisha yangu, oo ooo oo ooo × 2